Teachers Junction Tanzania

KAZI ZA NYUMBANI KWA MWANAFUNZI
KWA NJIA YA MTANDAO


Image placeholder Soma Kwa Kiingeleza EN

Kazi za nyumbani za mwanafunzi, mpangilio wa maswali ya kuchagua kutoka kwenye vitabu vya Taasisi ya Elimu Tanzania na maelekezo ya serikali kwa mpangilio unaotakiwa na a wizara ya Elimu unaokisi upimaji na tathimini juu ya malengo ya Balaza la mitihani la Tanzania kuhusu Elimu.


USAJILI WA MZAZI KWA MITIHANI YA MTANDAONI



Kama Tayari Umejisajili? Bofya hapa Kuingia

MITIHANI YA INTERSCHOOL KAZI ZA NYUMBANI KWA MWANAFUNZI.


Ni moja kati ya huduma zilizoandaliwa na kutolewa na taasisi ya Teachers Junction. Ni majaribio/kazi za nyumbani za mwanafunzi zinazotolewa kwa njia ya mtandao zinazopunguza gharama za karatasi/madaftari na muda, pia mitihani hii imeandaliwa kwa ajili ya kuboresha uelewa na kuongeza uwezo wa mwanafunzi kwa kutoa kazi mbalimbali kutoka zenye kukuza uwezo wake Ziada ya zile anazopewa shuleni kwao.


MALENGO YA KAZI ZA NYUMBANI KWA MWANAFUNZI KWA NJIA YA MTANDAO. Ni kumfanya mwanafunzi aweze kijitathimini uwezo wake binafsi chini ya usimamizi wa mzazi au mlezi kutoka kwa walimu tofauti tofauti wenye miundo/mpangilio/ujuzi tofauti na mbinu za utunzi wa maswali ya kuchagua ili kuchimba uelewa wa ndani wa mwanafunzi.

Teachers Junction Tanzania

Jifunze kwa njia ya mtandao


Ni mfumo kwa njia ya mtandao ambao unatoa maswali na kusahisha wenyewe. Mwanafunzi anaweza kufanya mtihani kwa rahisi na kusahishwa kwa haraka papo hapo. Mfumo wa kusahisha kwa njia ya mtandao unaruhusu kupakua na kuchapa majibu pamoja na ripoti ya alichokifanya kwa kutumia mfumo wetu wa njia ya mtandao wa kazi za nyumbani kwa mwanafunzi,unaweza kufanya kazi nyingi kwa kadrii ya uwezo wake.Hii ni njia nzuri na ya kipekee inayowasaidia wanafunzi wenye uelewa tofauti kuweza kuboresha maendeleo yao kitaaluma.Mitihani yetu inaandaliwa na walimu mahiri na wabobezi wenye mikakati dhabiti nay a kisasa ya ufundishaji uliyozingatia utashi na wa mwanafunzi kwenye utungaji na ufanyaji wa kazi hizo.


Mfumo huu utamfanya mwanafunzi akiwa darsani/shuleni au akiwa nje ya darasa/nyumbani awe mahiri na kutoachwa na mfumo wa ufundushaji kwa kupatiwa kazi za kumfanya aendelee kuwa anajifunza muda wote.

UNAWEZAJE KUUTUMIA?

Ili kutumia mfumo huu unatakiwa kuwa na Komputa au simu janja ikiwa na huduma za mtandao/internet.

UNAWEZAJE KUUTUMIA?

Huduma hii kwa njia ya mtandao inawekwa kwa gharama za chini kwa kila Mtanzania kuweza kuzimudu bila wasi. Kwa upande wa shule ya msingi ni Shillingi 1,000/- tu kwa darasa la kwanza hadi la tatu na shilling 15,00/- tu kwa darasa la nne hadi darasa la saba. Kwa upande wa Sekondari ni 2,000/- tu kwa kidato cha kwanza hadi cha nne na shilingi 2,500/-tu kwa kidato cha tano na cha sita.
Malipo yanafanywa kwa niia ya mtandao kupitia simu ya mkono au benk kwa mitandao yote Tanzania.


Unaweza Kuwasiliana Nasi kupitia

Barua Pepe: teachersjunction@hotmail.com

Namba ya Simu: +255713810857

Teachers Junction Makao Makuu

Kimara Baruti,Dar es salaam Tanzania

"Teachers Junction the best assessment solution in Tanzania"


INTERSCHOOLS EXAMS ONLINE HOMEWORK